Mechi ya Kimataifa Yanga hawatatoka ndani ya Dar

Mechi ya Kimataifa Yanga hawatatoka ndani ya Dar

Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa ,ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki .
Uzuri marefa sio wabongo,
Wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
Mbona wewe ni mbwa siku nyingi?
 
YANGA sisi ni kama MUME mwenye dudu tam na pesa, lazima Makolo mtuwaze na kutuandika kila mara... Makolo mnaumwa ugonjwa wa kugongwa na Yanga nje ndani
 
Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa ,ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki .
Uzuri marefa sio wabongo,
Wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
Hivi kwanini mmetimua kocha ilihali timu inaongoza ligi?
 
Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa ,ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki .
Uzuri marefa sio wabongo,
Wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
Naomba niwe mdau wa mwanzo kabisa kukuita mbwa, tena kwa idhini yako mwenyewe.
 
Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa ,ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki .
Uzuri marefa sio wabongo,
Wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
Kwa mpira ule wazee wanakaba na macho labda refa awe r jiga ila kama refa wa Caf tusubirie tena lawama kwa karia
tapatalk_-1045326327_264x375.jpg
tapatalk_843158430_480x360.jpg
 
Kipa wa uto atafungwa magoli 50 msimu huu.
nimesikiliza hapa wanasema tangu mechi za mwisho za msimu uliopita hadi leo anatunguliwa tu ingawa sometimes wanashinda ila wanaruhusu magoli
 
Yanga ikitolewa na Zalan njoo hapa Guest, pesa nalipa Mimi wewe kazi yako ni kunywa vinywaji na kuniinamishia tu zaga.
Zalan anapigwa nje ndani
 
Back
Top Bottom