joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Tuna waambia ndugu zetu mnao jiita wa kimataifa msimu kama wa mwaka jana HAUNA VIPORO, mshazoea wenzenu wanabakisha mechi tatu nyie mna nane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wanafanya mazoezi kwenye viwanja vya ndondo sasa jamvi kama la taifa si litakufa jitu.hao majamaa unaambiwa spidi waliyonayo digidigi wasome
Sawa mzee madogWatamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa, ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki.
Uzuri marefa sio wabongo, wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
Okay ngojea uwaone Nyasaland watakavyo kufanya.haina noma tutakutana mbele ya safari ingawa nye hamtasafiri
Huyu kipa kwanzia mechi ya Azam FA dhidi ya Coastal kawa kipa pazia. Yanga waanze kumpanga tu MsheryKipa wa uto atafungwa magoli 50 msimu huu.
Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa, ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki.
Uzuri marefa sio wabongo, wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
Mbumbumbu ndo jina linalokufaa,Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa, ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki.
Uzuri marefa sio wabongo, wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
Mmewaahau Makirikiri na wale Wasumbiji walio watoa round ya kwanza au umesahau.hamna kitu wale hata ndotoni tunawafunga
SARE ya leo YANGA hawakustahili kabisa.Sare ya leo ya yanga imewapa makolo ahueni nakujiona wao wapo vizuri kuliko yanga
Wachovu hawa, hapa Uto...wanashinda labda wazembee wenyewe.Kwa mpira ule wazee wanakaba na macho labda refa awe r jiga ila kama refa wa Caf tusubirie tena lawama kwa karia View attachment 2348183View attachment 2348184
HV ninjmos ndio tunacheza kunbe duh tutapita lzmTutaufukua Uzi huu jumamosi saa 12 jioni
Haya kaka umewaona KMC jasho linakutoka.hamna kitu wale hata ndotoni tunawafunga
Jiandae kuitwa Mbwa na ulikubali jina hilo pasipo kinyongoWatamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa, ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki.
Uzuri marefa sio wabongo, wakiwatoa Zalan mniite MBWA!