Mechi ya Kimataifa Yanga hawatatoka ndani ya Dar

Mechi ya Kimataifa Yanga hawatatoka ndani ya Dar

Tuna waambia ndugu zetu mnao jiita wa kimataifa msimu kama wa mwaka jana HAUNA VIPORO, mshazoea wenzenu wanabakisha mechi tatu nyie mna nane.
 
hao majamaa unaambiwa spidi waliyonayo digidigi wasome
Halafu wanafanya mazoezi kwenye viwanja vya ndondo sasa jamvi kama la taifa si litakufa jitu.
 
Sare ya leo ya yanga imewapa makolo ahueni nakujiona wao wapo vizuri kuliko yanga
mbeleko tu mlikuwa mnakalishwa,shukuruni refa alikubali muamala.
 
Halafu wanafanya mazoezi kwenye viwanja vya ndondo sasa jamvi kama la taifa si litakufa jitu.
mi ninachoona watawa underrate kwa vile ni waporiposi halafu mechi zote mbili Dar,we subiri suprise
 
Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa, ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki.

Uzuri marefa sio wabongo, wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
Sawa mzee madog
 
Tuna waambia ndugu zetu mnao jiita wa kimataifa msimu kama wa mwaka jana HAUNA VIPORO, mshazoea wenzenu wanabakisha mechi tatu nyie mna nane.
haina noma tutakutana mbele ya safari ingawa nye hamtasafiri
 
Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa, ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki.

Uzuri marefa sio wabongo, wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
 
Attachments

  • Zolane.jpg
    Zolane.jpg
    40 KB · Views: 4
Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa, ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki.

Uzuri marefa sio wabongo, wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
Mbumbumbu ndo jina linalokufaa,

Wewe kukuita mbwa ni kumkosea heshima mbwa
 
hamna kitu wale hata ndotoni tunawafunga
Mmewaahau Makirikiri na wale Wasumbiji walio watoa round ya kwanza au umesahau.

Narudia msimu hauna VIPORO na middle zako za kuungaunga kama Arsenal manake arsenal kaumia Partey na Elneny wanatafutana. Chama akiumia na yule Putin timu hamna.
 
Sare ya leo ya yanga imewapa makolo ahueni nakujiona wao wapo vizuri kuliko yanga
SARE ya leo YANGA hawakustahili kabisa.
Ni vizuri wakakaa kimya tu. Mfano: Goli la kwanza mpira ulishatoka kabisa, halafu ukarudishwa uwanjani. Mengine tunaamua kumezea tu.
 
Wanaweza kuwatoa Zalan lakini kwa wale wasudani ama Wahabesh watakalizwa mbaya mbovu....
 
Back
Top Bottom