Mechi ya Kirafiki: Simba vs Mwadui

Mechi ya Kirafiki: Simba vs Mwadui

Makoye Matale

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Posts
6,491
Reaction score
2,104
Matokeo ya leo: Simba 0-0 Mwadui FC. Hakuna cha Niang wala mikia wengine!

Julio: Simba bado sana, mashabiki wasitegemee jipya watabaki vile vile tu kama msimu uliopita na misimu mingine iliyopita.

CC. Masuke, sembo, Katavi et al.
 
Ilikuwa mechi ya kugombea nini??Juzi Dar Young African Alikuwa na Dada yao pale National stadium ktk ufunguzi wa VPL.
Dada huyoooooo ameolewaaaaaaaaaaaaa
 
mikia wamesahau hata kushangilia, wanachojua ni kuzomea tu timu wasiyoipenda (timu ya kimataifa).

Matokeo ya leo:
Simba 0-0 Mwadui FC. Hakuna cha Niang wala mikia wengine!

mkuu Kwan msenegal kucheza?? maana nashangaa kuona ukimya toka kwa kwa wanaz wa mikia fc tofauti na jinsi walivyokuwa wanaipa promo hiyo mechi ya kirafiki utadhan ni fainali ya CAN
 
Last edited by a moderator:

Timu zote zimecheza vizuri ila pengo la Okwi na Singano bado yanaonekana sijui tutayazibaje, maana kuna faulo zikitokea na Singano akipiga huwa ni zaidi ya asilimia 80 goli hata kona huwa anapiga vizuri sana; kwa Okwi hilo ndo sijaona kabisa mtu wa kuliziba labda yeye mwenyewe arudi au sijui muujiza gani ufanyike, yule msenegal ni wa kawaida sana.
 
Last edited by a moderator:
mikia wamesahau hata kushangilia, wanachojua ni kuzomea tu timu wasiyoipenda (timu ya kimataifa).

Matokeo ya leo:
Simba 0-0 Mwadui FC. Hakuna cha Niang wala mikia wengine!

Julio: Simba bado sana, mashabiki wasitegemee jipya watabaki vile vile tu kama msimu uliopita na misimu mingine iliyopita.

CC. Masuke, sembo, Katavi et al.

Timu zote zimecheza vizuri ila pengo la Okwi na Singano bado yanaonekana sijui tutayazibaje, maana kuna faulo zikitokea na Singano akipiga huwa ni zaidi ya asilimia 80 goli hata kona huwa anapiga vizuri sana; kwa Okwi hilo ndo sijaona kabisa mtu wa kuliziba labda yeye mwenyewe arudi au sijui muujiza gani ufanyike, yule msenegal ni wa kawaida labda kama atapewa muda. Kwa jinsi nilivyoona kama tutakosa bahati basi nafasi ya kwanza au ya pili itakuwa ngumu kuipata lakini naweka tu akiba ya maneno labda kocha atabadilisha.
 
Last edited by a moderator:
mikia wamesahau hata kushangilia, wanachojua ni kuzomea tu timu wasiyoipenda (timu ya kimataifa).

Matokeo ya leo:
Simba 0-0 Mwadui FC. Hakuna cha Niang wala mikia wengine!

Julio: Simba bado sana, mashabiki wasitegemee jipya watabaki vile vile tu kama msimu uliopita na misimu mingine iliyopita.

CC. Masuke, sembo, Katavi et al.

ohoooooooo!!!!! ndio maana naona kimya mpaka sasa kwenye kale kablog kanakodhaminiwa na hanspope zaidi ya kukuta kimwaga akisifiwa kapendeza kuvaa jez ya mikia fc...nadhan bin zubeiry atakuwa anatafuta maneno mazuri ya kuwapamba mikia then ampe hanspope aihakiki(edit) kabla hajai upload kwenye blog,,maana hata wale dada zao amewapamba kweli kweli " eti, pamoja na kuikosa ngao ya jamii Azam yaweka bonge la rekodi haijawah tokea " ........
 
Last edited by a moderator:
mkuu Kwan msenegal kucheza?? maana nashangaa kuona ukimya toka kwa kwa wanaz wa mikia fc tofauti na jinsi walivyokuwa wanaipa promo hiyo mechi ya kirafiki utadhan ni fainali ya CAN

Kacheza, Mkuu Masuke kaweka wazi kuwa huyo Msenegal ni wa normal sana hivyo mapengo ya Okwi na Singano bado ni homa ya Msimbazi.
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa mechi ya kugombea nini??Juzi Dar Young African Alikuwa na Dada yao pale National stadium ktk ufunguzi wa VPL.
Dada huyoooooo ameolewaaaaaaaaaaaaa

ilikuwa ni mechi ya kugombea kusajiliwa kwa "straika hatari dogo lake na mshambuliaji határ la senegal mamadou niag"ila sasa sijui kama atasajiliwa maana hajafunga,,watamkata tu maana hakuna namna tena
 
Tanzania hamna wa kimataifa promo za magazeti zinatupotosha sana ila mpira wetu ni uleule tuu na hawa wachezaji tunaowanunua kwakusoma sifa google zinatudumaza .
 
Usijifariji kwa vijimaneno uchwara, wa kimataifa wapo na wa mchangani wapo hapa hapa Tanzania. Ukweli unauma, lakini hakuna jinsi!
 
mkuu Sibirien tu nafac yenu ya nne tena ,,kusema hakuna wakimataifa tanzania nitakukatalia, maana wanajulikana kabisa ni akina nani wala haina haja ya kuwataja nadhan hata wew unawafaham,, ila kwa hiyo kauli yako tunaita maneno ya mkosaji tu,, hamkumbuki mlivyotusumbua na ule wimbo wa MAVUGO??? ilikuwa ni kelele sana mjini
 
ilikuwa ni mechi ya kugombea kusajiliwa kwa "straika hatari dogo lake na mshambuliaji határ la senegal mamadou niag"ila sasa sijui kama atasajiliwa maana hajafunga,,watamkata tu maana hakuna namna tena

Kama kashindwa kuwafunga Mwadui ambao ni shikamoo jazzy itakuwaje akikutana na wale wa kimataifa? Shoka limewekwa kwenye mti usiozaa matunda, huyo Msenegal atakatwa tu!
 
Usijifariji kwa vijimaneno uchwara, wa kimataifa wapo na wa mchangani wapo hapa hapa Tanzania. Ukweli unauma, lakini hakuna jinsi!

Unashindwa kuqualifie hata group stage unajiita wa kimataifa??? Tunashindwa hata na wa sudan hapa hamna mpira maneno mengi ndio tunajua.
 
mkuu Sibirien tu nafac yenu ya nne tena ,,kusema hakuna wakimataifa tanzania nitakukatalia, maana wanajulikana kabisa ni akina nani wala haina haja ya kuwataja nadhan hata wew unawafaham,, ila kwa hiyo kauli yako tunaita maneno ya mkosaji tu,, hamkumbuki mlivyotusumbua na ule wimbo wa MAVUGO??? ilikuwa ni kelele sana mjini

CC. sembo: wewe ndiye ulikuwa kuwadi mkuu wa Mavugo.
 
Last edited by a moderator:
mkuu Sibirien tu nafac yenu ya nne tena ,,kusema hakuna wakimataifa tanzania nitakukatalia, maana wanajulikana kabisa ni akina nani wala haina haja ya kuwataja nadhan hata wew unawafaham,, ila kwa hiyo kauli yako tunaita maneno ya mkosaji tu,, hamkumbuki mlivyotusumbua na ule wimbo wa MAVUGO??? ilikuwa ni kelele sana mjini

Nikupe pole tu kwakupenda chongo afu unasifia kinaona vizuri mi ni mpenzi wa mpira siyo shabiki wa team special tz kwakuwa nyote mmejaa uswahili afu mpira mbovu kila kukicha mnanunua wachezaji baada ya mwezi mnavunja mkataba yaan mpo careless mno ndio maana mpira wenu hauna future au plan b zaidi ya ushiriki tu wa mashindano maana hata ushindani hamtoi
 
Unashindwa kuqualifie hata group stage unajiita wa kimataifa??? Tunashindwa hata na wa sudan hapa hamna mpira maneno mengi ndio tunajua.

Hata tusipofika hiyo group stage, wapo tuliowachapa kisawasawa! Kumbuka washindani ni wengi lakini bingwa ni mmoja. Kama ni kazi rahisi kufika hiyo group stage, unafahamu kuwa timu yako ilifika mara moja tu?
 
Nikupe pole tu kwakupenda chongo afu unasifia kinaona vizuri mi ni mpenzi wa mpira siyo shabiki wa team special tz kwakuwa nyote mmejaa uswahili afu mpira mbovu kila kukicha mnanunua wachezaji baada ya mwezi mnavunja mkataba yaan mpo careless mno ndio maana mpira wenu hauna future au plan b zaidi ya ushiriki tu wa mashindano maana hata ushindani hamtoi

Ushindani upo, kwa taarifa zaidi kawaulize Etoile du Sahel na Al Ahly.
 
haihitaji kuwa na degree kumjua shabiki wa mikia fc ,,,najua tatizo mmeshakata tamaa na litimu lenu maana kila uchao ifigisu na porojo kibao kwenye usajili,, mara utasikia mavugvo mara ndayesenga , mara maguri amekatwa kwa sababu zisizo za kimpira, mara hanspope anafata mshambuliaji wa kubrazili, Yule golikipa kinda mwenye miaka 40 wa kibrazili cjui aliishia wapi,, mara msemaji wenu haji manara alienda afrika kusini...kwa kifupi timu iliyojaa uswahili ni mikia fc na hamna Future yoyote kwa litimu lenu viongoz wenu wanazidi kuwafanya mambumbumbu kila uchwao kuwafunga akili hata hamjitambui, mmekalia kucheza mechi za mchangani na zile za kutafutiwa kutoka nje ya nchi huku hanspope akizitaka zicheze chini ya kiwango kuhakikisha mnazifunga ili kuwafurahisha mashabiki wa mikia fc aka mambumbumbu sc,,...
 
Ushindani upo, kwa taarifa zaidi kawaulize Etoile du Sahel na Al Ahly.

nakwakumpa taarifa kama alikuwa hajui timu zote hizo tulizokutana nazo kwa maana ya Al Ahly na Etoile du saleh sio za kubeza hata kidogo maana Al Ahly baada ya kututoa kwa taabu sana walienda kubeba ndoo ya shirikisho na hiyo Etoile wametinga nusu fainali,,,sasa ataona ni jinsi gani tulivyowapa upinzani mkubwa na wao kuponea chupuchupu kutolewa na timu ya wananchi,,nadiriki kusema.uzoefu wao na bahati viliwabeba mbele ya timu ya wananchi au timu ya kimataifa
 
Back
Top Bottom