Mechi ya kirafiki: Tanzania na Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo zimetoka sare ya kufungana 1 -1

Hii timu kama ndio inaenda CHAN hamna kitu inabidi ivunjwe waitwe upya hamna timu hapo,

Kwaninii walimu wanamuacha mzamiru yasini,tz hamna namba 6 iliyokamilika kama mzamiru ila walimu huwa wana mu underestimate sijui kwa ninii
 
Kipindi cha pili kinaendelea. Dakika ni ya 51 hakuna mabadiliko ya scoreline
 
Reactions: Lee
Dakika ya 52 tunarudisha goli out of blue.
Tanzania 1 DR CONGO 1
 
Hata sisi watanzania mwenyewe sio wazalendo.Uzi wa mechi ya taifa stars mpira unaisha upo page ya pili ila ngoja kesho ule wa mikia against utopolo half time tu utakuwa page ya saba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…