Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Wafukuze na kocha kabisa, anamng'ang'ia Kaseja sijui bwanaake.Hii timu kama ndio inaenda CHAN hamna kitu inabidi ivunjwe waitwe upya hamna timu hapo,
Kwaninii walimu wanamuacha mzamiru yasini,tz hamna namba 6 iliyokamilika kama mzamiru ila walimu huwa wana mu underestimate sijui kwa ninii