Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jan 13, 2021 #41 Obiioo said: Hii timu kama ndio inaenda CHAN hamna kitu inabidi ivunjwe waitwe upya hamna timu hapo, Kwaninii walimu wanamuacha mzamiru yasini,tz hamna namba 6 iliyokamilika kama mzamiru ila walimu huwa wana mu underestimate sijui kwa ninii Click to expand... Wafukuze na kocha kabisa, anamng'ang'ia Kaseja sijui bwanaake.
Obiioo said: Hii timu kama ndio inaenda CHAN hamna kitu inabidi ivunjwe waitwe upya hamna timu hapo, Kwaninii walimu wanamuacha mzamiru yasini,tz hamna namba 6 iliyokamilika kama mzamiru ila walimu huwa wana mu underestimate sijui kwa ninii Click to expand... Wafukuze na kocha kabisa, anamng'ang'ia Kaseja sijui bwanaake.
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Jan 13, 2021 #42 Drone Camera said: Hata sisi watanzania mwenyewe sio wazalendo.Uzi wa mechi ya taifa stars mpira unaisha upo page ya pili ila ngoja kesho ule wa mikia against utopolo half time tu utakuwa page ya saba! Click to expand... Mashabiki wanataka mpira mzuri unaovutia kutazama.
Drone Camera said: Hata sisi watanzania mwenyewe sio wazalendo.Uzi wa mechi ya taifa stars mpira unaisha upo page ya pili ila ngoja kesho ule wa mikia against utopolo half time tu utakuwa page ya saba! Click to expand... Mashabiki wanataka mpira mzuri unaovutia kutazama.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 13, 2021 #43 Ahsante kwa taarifa... Cc: mahondaw