Hakika Mtani.Si mbaya, muhimu umeziona.
Yaani pacha Yanga waliifanya siku yangu ikavurugika mana nilichukia mbaya. π
Eti kidogo. Lol.Hata mie jana nilisikitika kidogo kwa ajili yako π€
Wacha kabisa Pacha wajua tena Uyanga lia lia huu nao huwa ni tatizo. πππPacha jana ulipotea kabisa mazingira haya
Wacha kabisa Pacha wajua tena Uyanga lia lia huu nao huwa ni tatizo. πππ
Hebu niache Pacha.Mie bado nakukumbusha sisi simba hatujawahi kufunga dirisha la usajili wa mashabiki wapya
Mkichoka kulia na yanga yenu,karibu sana sana sana simba
Hebu niache Pacha.
Njoo tumalizie keki huko mana huko kwenu sikuwezi hata kwa sekunde japo wanaonizunguka wote wako huko. π
Hahahahaaa. Pacha umejua kunichekesha lol. Mana kama mie nilianza kuongezeka vinyama kidogo ila jana tu naona nimeanza kunywea. πHuku kwetu ukiamua kuja hautajuta,mie siku nikitaka kupunguza uzito nitahamia kwenu π€£
Nitakuja na cake yangu pia tulinganishe ipi ilikuwa tamu zaidi π€
Hahahahha sijui umeanza lini ukorofi