Mechi ya kirafiki Yanga Vs KMC

Mechi ya kirafiki Yanga Vs KMC

Mie bado nakukumbusha sisi simba hatujawahi kufunga dirisha la usajili wa mashabiki wapya

Mkichoka kulia na yanga yenu,karibu sana sana sana simba
Hebu niache Pacha.

Njoo tumalizie keki huko mana huko kwenu sikuwezi hata kwa sekunde japo wanaonizunguka wote wako huko. 😂
 
Hebu niache Pacha.

Njoo tumalizie keki huko mana huko kwenu sikuwezi hata kwa sekunde japo wanaonizunguka wote wako huko. 😂

Huku kwetu ukiamua kuja hautajuta,mie siku nikitaka kupunguza uzito nitahamia kwenu 🤣

Nitakuja na cake yangu pia tulinganishe ipi ilikuwa tamu zaidi 🤗
 
Huku kwetu ukiamua kuja hautajuta,mie siku nikitaka kupunguza uzito nitahamia kwenu 🤣

Nitakuja na cake yangu pia tulinganishe ipi ilikuwa tamu zaidi 🤗
Hahahahaaa. Pacha umejua kunichekesha lol. Mana kama mie nilianza kuongezeka vinyama kidogo ila jana tu naona nimeanza kunywea. 🙈

Ewaaaa!!! Uje nayo Pacha wa mie baada ya hapo tunakula yako kisha tunamalizia yangu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom