Mechi ya kwanza Arsenal kupoteza itakua dhidi ya Man united

choza choza

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2019
Posts
2,081
Reaction score
3,831
Man united wameanza ligi kwa kuchechemea wakianza na ushindi wa mbinde nyumbani kisha kipigo ugenini kwa Spurs

Arsenal nayo imeanza ligi kwa ushindi wa mbinde 2-1 nyumbani dhidi ya N.forest na 1-0 dhidi ya C.palace ugenini

Ukweli ni kwamba Arsenal ameanza ligi na timu nyepesi nyepesi na ushindi wao wa mashaka mashaka, sioni tofauti kubwa kati yao na United

Hivyo natabiri kwamba Arsenal atapokea kichapo kutoka kwa Man united maana wataingia kichwakichwa kwa kuwadharau United.

Rashford atawaliza Arsenal.

NB. Mimi ni Liverpool
 
Arsenal wabovu defense, winning lost balls, blocking opponents from easy access to their final third pitch area, hawana clinical finishers
 
🤣🤣
 
Wacha uchawi mkuu,tuache tuna jambo letu msimu huu
 
Bila shaka hizo SI akili za kichwani ni za kwenye masaburi,kwa akili za kichwani Man U hana mpira wa kuifunga Gunners iw e jua iwe mvua
 
Ushamuua Arsenal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…