Mechi ya kwanza Arsenal kupoteza itakua dhidi ya Man united

Man united wameanza ligi kwa kuchechemea wakianza na ushindi wa mbinde nyumbani kisha kipigo ugenini kwa Spurs

Arsenal nayo imeanza ligi kwa ushindi wa mbinde 2-1 nyumbani dhidi ya N.forest na 1-0 dhidi ya C.palace ugenini

Ukweli ni kwamba Arsenal ameanza ligi na timu nyepesi nyepesi na ushindi wao wa mashaka mashaka, sioni tofauti kubwa kati yao na United

Hivyo natabiri kwamba Arsenal atapokea kichapo kutoka kwa Man united maana wataingia kichwakichwa kwa kuwadharau United.

Rashford atawaliza Arsenal.

NB. Mimi ni Liverpool
Ramli potofu
 
Hongereni wana Gunners kwa ushindi, japo hali bado kidogo iwe tete

Tunakutaka wew livekuku .

Shost yako nyumbu tushamchakaza jana.
IMG_4712.jpg
 
Hongereni wana Gunners kwa ushindi, japo hali bado kidogo iwe tete
Ila wanastahili, wamecheza mpira mzuri mwanzo mwisho, Man Utd walikuwa wamepaki basi na kushambulia kwa kushtukiza. Arsenal asingeshinda ingeumiza sana kwa kiwango alichoonesha kwenye mpira wa jana.
 
Man united wameanza ligi kwa kuchechemea wakianza na ushindi wa mbinde nyumbani kisha kipigo ugenini kwa Spurs

Arsenal nayo imeanza ligi kwa ushindi wa mbinde 2-1 nyumbani dhidi ya N.forest na 1-0 dhidi ya C.palace ugenini

Ukweli ni kwamba Arsenal ameanza ligi na timu nyepesi nyepesi na ushindi wao wa mashaka mashaka, sioni tofauti kubwa kati yao na United

Hivyo natabiri kwamba Arsenal atapokea kichapo kutoka kwa Man united maana wataingia kichwakichwa kwa kuwadharau United.

Rashford atawaliza Arsenal.

NB. Mimi ni Liverpool
Ikawaje ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom