Mechi ya kwanza Arsenal kupoteza itakua dhidi ya Man united

Mechi ya kwanza Arsenal kupoteza itakua dhidi ya Man united

Nyumbu Hana mpira wakuifunga Arsenal

Na safari hii Degea hayupo ,anayepunguzaga magoli
 
Nimerudi tena na utabiri wangu wa hawa pwagu na pwaguzi, mmoja kashinda kwa mbinde kwake, mwingine ushindi wa mashaka mashaka leo umekua sare
 
Man united wameanza ligi kwa kuchechemea wakianza na ushindi wa mbinde nyumbani kisha kipigo ugenini kwa Spurs

Arsenal nayo imeanza ligi kwa ushindi wa mbinde 2-1 nyumbani dhidi ya N.forest na 1-0 dhidi ya C.palace ugenini

Ukweli ni kwamba Arsenal ameanza ligi na timu nyepesi nyepesi na ushindi wao wa mashaka mashaka, sioni tofauti kubwa kati yao na United

Hivyo natabiri kwamba Arsenal atapokea kichapo kutoka kwa Man united maana wataingia kichwakichwa kwa kuwadharau United.

Rashford atawaliza Arsenal.

NB. Mimi ni Liverpool
Man Yuu ya buza labda
 
Hongereni wana Gunners kwa ushindi, japo hali bado kidogo iwe tete
 
Back
Top Bottom