Mechi ya kwanza Arsenal kupoteza itakua dhidi ya Man united

Nyumbu Hana mpira wakuifunga Arsenal

Na safari hii Degea hayupo ,anayepunguzaga magoli
 
Nimerudi tena na utabiri wangu wa hawa pwagu na pwaguzi, mmoja kashinda kwa mbinde kwake, mwingine ushindi wa mashaka mashaka leo umekua sare
 
Man Yuu ya buza labda
 
Hongereni wana Gunners kwa ushindi, japo hali bado kidogo iwe tete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…