ZimefikaSiku zinakaribia
Ramli potofuMan united wameanza ligi kwa kuchechemea wakianza na ushindi wa mbinde nyumbani kisha kipigo ugenini kwa Spurs
Arsenal nayo imeanza ligi kwa ushindi wa mbinde 2-1 nyumbani dhidi ya N.forest na 1-0 dhidi ya C.palace ugenini
Ukweli ni kwamba Arsenal ameanza ligi na timu nyepesi nyepesi na ushindi wao wa mashaka mashaka, sioni tofauti kubwa kati yao na United
Hivyo natabiri kwamba Arsenal atapokea kichapo kutoka kwa Man united maana wataingia kichwakichwa kwa kuwadharau United.
Rashford atawaliza Arsenal.
NB. Mimi ni Liverpool
Hongereni wana Gunners kwa ushindi, japo hali bado kidogo iwe tete
Hatuwezi kufungwa na Arsenal mbovu namna hii, striker Nketia
Jamaa wa huu uzi yuko wqp?Sawa mjuvi mtufunge hata goli 5 ikiwezekana
Ila wanastahili, wamecheza mpira mzuri mwanzo mwisho, Man Utd walikuwa wamepaki basi na kushambulia kwa kushtukiza. Arsenal asingeshinda ingeumiza sana kwa kiwango alichoonesha kwenye mpira wa jana.Hongereni wana Gunners kwa ushindi, japo hali bado kidogo iwe tete
Hospitali ya Muhimbili Wadi ya Mwaisela!Jamaa wa huu uzi yuko wqp?
Wakishindwa tutampeleka India kwa matibabu zaidiHospitali ya Muhimbili Wadi ya Mwaisela!
[emoji38][emoji38]Hatuwezi kufungwa na Arsenal mbovu namna hii, striker Nketia
Atakuwa anaugulia maumivu ya Kubet na ya unazi wa Oya OyaJamaa wa huu uzi yuko wqp?
Ujuaji sio mzuriAtakuwa anaugulia maumivu ya Kubet na ya unazi wa Oya Oya
Utabiri wako umetimia Rashford alijaribu kuua ila kilichompata hatakaa asahau,,alichokoza nyuki na wamemfanyizia.Hongereni wana Gunners kwa ushindi, japo hali bado kidogo iwe tete
Ikawaje ndugu yangu?Man united wameanza ligi kwa kuchechemea wakianza na ushindi wa mbinde nyumbani kisha kipigo ugenini kwa Spurs
Arsenal nayo imeanza ligi kwa ushindi wa mbinde 2-1 nyumbani dhidi ya N.forest na 1-0 dhidi ya C.palace ugenini
Ukweli ni kwamba Arsenal ameanza ligi na timu nyepesi nyepesi na ushindi wao wa mashaka mashaka, sioni tofauti kubwa kati yao na United
Hivyo natabiri kwamba Arsenal atapokea kichapo kutoka kwa Man united maana wataingia kichwakichwa kwa kuwadharau United.
Rashford atawaliza Arsenal.
NB. Mimi ni Liverpool
mshahara wa ujuaji ni aibu.Ameonekana huku akibondwa! 😁
View attachment 2742790