Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Naishauri timu yangu sio kwa ubaya, mabeki wetu wa kati Chamou Karabou, Che Malone Fondoh na Abdulrazack Hamza na yule Hussein Kaze ni mtihani na presha tupu, Che Malone amepungukiwa sana uwezo, Sasa hivi hana Tena maajabu, Chamou ni mzito na kama ningekuwa karibu naye ningemshauri ageukie kwenye mieleka ama mandonga mtu kazi.
Hamza ndio kabisa, beki hana ukatili wowote, beki ambaye ukicheza naye unajua umpite vipi, angalieni mechi alizocheza Hamza vs Constantine, wale waangola utaona kuwa hakuna beki humu, beki ameshindwa mpira afrika kusini kapata mtu kampigia promo kaja Simba anapewa sifa za kijinga.
Joshua Mutale naye maji kupwa maji kujaa, Kuna mtu anakula 10 percent kutuaminisha Budo anajua mpira,
Ahoua naye vituko vitupu, Mukwala nafasi nne anapata Moja, angalau Ateba mzuri lakini kashapigwa misumari Sasa hivi Kawa kama mandonga vile.
Mimi nashauri Simba mwakani kama mnahitaji kufanya vizuri chukueni Idd Kipagwile, Rashid Chambo, Kulandana, na kuachana na akina Balua, Omary Omary na muongeze wakali wengine wenye sifa ya kuchezea Simba, Hawa akina Malone, Chamou, Nouma, Okajepha, Ngoma, AHoua, Mukwala, Ateba, Mutale ondoa peleka Ken Gold kule