Mkuu hawa ni Raja wanaotaka sifa, na sipati picha kama wale mashabiki wao wata ruhusiwa uwanjani full houseUsiwe na shaka, Simba atalinda heshma yake Morocco. Utaiona Simba ambayo haujawahi kuiona kwa muda mrefu.
Niliwahi kwenda Misri juzi juzi na katika pita pita zangu mitaani nilikuwa najitambulisha kama mwanasimba. Wakawa wanafurahi wakikumbuka tulichowafanyia Zamalek miaka ile.
Tunaomba iwe hivyo mkuu, ila hawa jamaa kwenye lile dimba lao, wakikukosa sana 5Raja ameshafuzu na tayari yuko na uhakika wa kuongoza kundi. Mechi yake dhidi ya Simba haitakua na umuhimu wowote.
Atapumzisha wachezaji wake muhimu, na hatakua na molari ya kupambana. Simba wakikaza, wanaweza kupata matokeo!
Mkuu wale jamaa huwajui kwa kutaka sifa, huwa wanapenda kumaliza makundi na alama 18 na magoli ya kutosha hivyo usishangae aka kupangia full mkoko na kukupiga Hamsa plusHoyo mechi wala haitakuwa ngumu,hawawezi kuweka wachezaji wa maana coz washafuzu roboechi haina umuhimu kwao hiyo
Hii ndiyo maana ya champions league mkuu, anyway tuna kuombea na wewe kwenye hilo kombe lenu la mbuzi mvuke hatua ya makundi, Robo fainali mkakutane na Pyramids tucheke kwanza maana mda mrefu [emoji16]Makolo wanaruka na kukanyagana
Chache saaanaTunaomba iwe hivyo mkuu, ila hawa jamaa kwenye lile dimba lao, wakikukosa sana 5
Unatakiwa ujiandae tu kisaikolojia. Huna sababu ya kujinyima raha huku ukitambua fika kipigo cha mbwa mwizi hakikwepeki kwenye hiyo mechi yenu ya marudio.Wakuu
Nimeshindwa kabisa kuwa na amani, hii mechi ya marudiano na Raja pale kwenye dimba la Mohammed V Morocco inaninyima kabisa usingizi.
Kila nikikumbuka zile thalatha walizotupiga tukiwa full house hapo lupaso pia nikikumbuka bado tuna mechi ya marudiano tena kwao nanyong'onyea mpaka miguu inaisha nguvu.
Kimahesabu tutakuwa tayari tumeshafuzu quarter finals maana Horoya hana pa kutokea lazima avute pumzi ya moto, lakini kuhusu Raja haya mambo mimi naona kama yana zungumzika.
Tunaweza kukaa chini tukayazungumza sio lazima mpaka tuaibishane kiasi hicho tusifike huko bhna.
Nguvu moja [emoji881]
Watatunza energy ya mechi ya robo fainali. Hakuna kocha anayependa aingie katika mechi muhimu akiwa na wachezaji wanaokosa mechi kwa yellow au red cards au kwa majerahaMkuu hawa ni Raja wanaotaka sifa, na sipati picha kama wale mashabiki wao wata ruhusiwa uwanjani full house
Raja ata akiweka timu B...Tano ziko pale pale[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Raja ameshafuzu na tayari yuko na uhakika wa kuongoza kundi. Mechi yake dhidi ya Simba haitakua na umuhimu wowote.
Atapumzisha wachezaji wake muhimu, na hatakua na molari ya kupambana. Simba wakikaza, wanaweza kupata matokeo!