Teh teh...hii comment imenivunja mbavu..Usiwe na shaka, Simba atalinda heshma yake Morocco. Utaiona Simba ambayo haujawahi kuiona kwa muda mrefu.
Niliwahi kwenda Misri juzi juzi na katika pita pita zangu mitaani nilikuwa najitambulisha kama mwanasimba. Wakawa wanafurahi wakikumbuka tulichowafanyia Zamalek miaka ile.
timu ambayo ipo ni level za mtibwa na sio MamelodTimu tunayo mkuu, ila sio kwa level za Raja
Wakuu
Nimeshindwa kabisa kuwa na amani, hii mechi ya marudiano na Raja pale kwenye dimba la Mohammed V Morocco inaninyima kabisa usingizi.
Kila nikikumbuka zile thalatha walizotupiga tukiwa full house hapo lupaso pia nikikumbuka bado tuna mechi ya marudiano tena kwao nanyong'onyea mpaka miguu inaisha nguvu.
Kimahesabu tutakuwa tayari tumeshafuzu quarter finals maana Horoya hana pa kutokea lazima avute pumzi ya moto, lakini kuhusu Raja haya mambo mimi naona kama yana zungumzika.
Tunaweza kukaa chini tukayazungumza sio lazima mpaka tuaibishane kiasi hicho tusifike huko bhna.
Nguvu moja [emoji881]
Vipers kiboko yenu na To Mazembe!Shukuruni mmepewa Vipers mpaka sasa hivi mngekuwa na pointing 0
Unadhani hao ni watanzania wenye roho kama yako ya kimaskini?Raja ameshafuzu na tayari yuko na uhakika wa kuongoza kundi. Mechi yake dhidi ya Simba haitakua na umuhimu wowote.
Atapumzisha wachezaji wake muhimu, na hatakua na molari ya kupambana. Simba wakikaza, wanaweza kupata matokeo!
Ni kweli,Mpira unadunda sehemu yeyote, hii simba inaweza ikawa shangaza,, tutampiga mtu hamsa hamtaamini.
Ni kweli mkuu, zina tengenezwa nafasi nyingi zinatumika chacheNi kweli,
Tatizo la Simba yetu Mkuu hawazitumii vizuri nafasi ukiangalia mchezo wa awali waarabu walikuwa wancheza kwa tahadhari Sana lakini baadae wakaona hatuna madhara mbele ya lango lao jamaa wakaanza kutiririka.