Mechi ya marudiano na Raja AC inaninyima usingizi

Mechi ya marudiano na Raja AC inaninyima usingizi

Usiwe na shaka, Simba atalinda heshma yake Morocco. Utaiona Simba ambayo haujawahi kuiona kwa muda mrefu.

Niliwahi kwenda Misri juzi juzi na katika pita pita zangu mitaani nilikuwa najitambulisha kama mwanasimba. Wakawa wanafurahi wakikumbuka tulichowafanyia Zamalek miaka ile.
Teh teh...hii comment imenivunja mbavu..
 
Hapigwi mtu mkono sheikh, sio kwamba simba anacheza hovyo hapana, hiyo nj strategy ya kucheza champions league. Ukitaka ufurahishe watu, utapiga pira kubwa ila full time matokeo hayapo upande wako..
 
Kawaida tu mbona al ahly jana kala 5 na nchi ipo shwari kabisa.
Mkuu unaandika hii post ukiwa wapi, nchi ipo shwari ?,, una wajua waarabu kweli, tena mashabiki wa timu kubwa kama ahly ?
 
Wakuu

Nimeshindwa kabisa kuwa na amani, hii mechi ya marudiano na Raja pale kwenye dimba la Mohammed V Morocco inaninyima kabisa usingizi.

Kila nikikumbuka zile thalatha walizotupiga tukiwa full house hapo lupaso pia nikikumbuka bado tuna mechi ya marudiano tena kwao nanyong'onyea mpaka miguu inaisha nguvu.

Kimahesabu tutakuwa tayari tumeshafuzu quarter finals maana Horoya hana pa kutokea lazima avute pumzi ya moto, lakini kuhusu Raja haya mambo mimi naona kama yana zungumzika.

Tunaweza kukaa chini tukayazungumza sio lazima mpaka tuaibishane kiasi hicho tusifike huko bhna.

Nguvu moja [emoji881]

Ni kupunguza idadi ya magoli kule lkn mbrazil akijitoa ufahamu basi ata enjoy show ya muarabu
 
Ni kupunguza idadi ya magoli kule lkn mbrazil akijitoa ufahamu basi ata enjoy show ya muarabu
Uko sahihi lazima tucheze defensive futbal..
 
Nami naiona Raja kwa mbali akiandaa goli tano za simba
Ila ni powa simba la mujini lipigwe k mwizi tu
Hakuna namna
 
Nami naiona Raja kwa mbali akiandaa goli tano za simba
Ila ni powa simba la mujini lipigwe k mwizi tu
Hakuna namna
Pamoja na yote ila mpira unadunda mkuu, utarudi hapa kuifuta comment yako
 
Raja ameshafuzu na tayari yuko na uhakika wa kuongoza kundi. Mechi yake dhidi ya Simba haitakua na umuhimu wowote.

Atapumzisha wachezaji wake muhimu, na hatakua na molari ya kupambana. Simba wakikaza, wanaweza kupata matokeo!
Unadhani hao ni watanzania wenye roho kama yako ya kimaskini?

Ama unadhani hiyo ni ndondo?
Simba naye si atakuwa amefuzu?
 
Mpira unadunda sehemu yeyote, hii simba inaweza ikawa shangaza,, tutampiga mtu hamsa hamtaamini.
Ni kweli,

Tatizo la Simba yetu Mkuu hawazitumii vizuri nafasi ukiangalia mchezo wa awali waarabu walikuwa wancheza kwa tahadhari Sana lakini baadae wakaona hatuna madhara mbele ya lango lao jamaa wakaanza kutiririka.
 
Ni kweli mkuu, zina tengenezwa nafasi nyingi zinatumika chache
 
Back
Top Bottom