Mechi ya marudiano ya yanga na club African nchi inaenda kuingia kwenye aibu ya karne

Futuza

Senior Member
Joined
Sep 9, 2022
Posts
127
Reaction score
515
Kwa Ile mechi ya awali dakika za mwisho waarabu walionyesha kile watakachoenda kukifanya kule kwao..ni suala la muda tu,tunaenda kupata aibu.

Mwarabu anajua yanga watataka kupata goli la ugenini na hapo ndio watakapofungulia turbo huku wakichagizwa na vibe la mashabiki wao lukuki uwanjani,tuwaombee yanga japo washatolewa.
 
Dakika 90 zitaongea. Mchezo una matokeo 3 na kila timu inahitaji ushindi. Wajitahidi tu wanaweza kushinda. Miaka ya sabini simba alipigwa 4 bila. Tukawafuta kwamba ndio mwisho wao. Walipokwenda zambia walimkung'uta mtu 5 bila watu kule zambia walizimia. Kwa nini yanga wasijaribu? Tuwaombee.
 
Dakika 90 zitaongea. Mchezo una matokeo 3 na kila timu inahitaji ushindi. Wajitahidi tu wanaweza kushinda. Miaka ya sabini simba alipigwa 4 bila. Tukawafuta kwamba ndio mwisho wao. Walipokwenda zambia walimkung'uta mtu 5 bila watu kule zambia walitumia. Kwa nini yanga wasijaribu? Tuwaombee.
Ni simba wèwe shabiki ngiri
watapigwa nyingi ili wakahadithiane na kipanga
 
Kwa Ile mechi ya awali dakika za mwisho waarabu walionyesha kile watakachoenda kukifanya kule kwao..ni suala la muda tu,tunaenda kupata aibu.

Mwarabu anajua yanga watataka kupata goli la ugenini na hapo ndio watakapofungulia turbo huku wakichagizwa na vibe la mashabiki wao lukuki uwanjani,tuwaombee yanga japo washatolewa.
Yanga anashinda hii mechi, mm sio topolo lakin kiufundi na moraliwise yanga inawebaba

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Ile mechi ya awali dakika za mwisho waarabu walionyesha kile watakachoenda kukifanya kule kwao..ni suala la muda tu,tunaenda kupata aibu.

Mwarabu anajua yanga watataka kupata goli la ugenini na hapo ndio watakapofungulia turbo huku wakichagizwa na vibe la mashabiki wao lukuki uwanjani,tuwaombee yanga japo washatolewa.
Sawa tumekusikia kocha wa kwa mtogole na mtabiri
 
Kwa Ile mechi ya awali dakika za mwisho waarabu walionyesha kile watakachoenda kukifanya kule kwao..ni suala la muda tu,tunaenda kupata aibu.

Mwarabu anajua yanga watataka kupata goli la ugenini na hapo ndio watakapofungulia turbo huku wakichagizwa na vibe la mashabiki wao lukuki uwanjani,tuwaombee yanga japo washatolewa.
Kuna watu walikuwa wanakalia goli tano tano kwa kila mechi mpaka wakapewa jina la Hamsa na ile hali tuliizoea, hivyo hakuna cha kuogopa.
 
Kwa Ile mechi ya awali dakika za mwisho waarabu walionyesha kile watakachoenda kukifanya kule kwao..ni suala la muda tu,tunaenda kupata aibu.

Mwarabu anajua yanga watataka kupata goli la ugenini na hapo ndio watakapofungulia turbo huku wakichagizwa na vibe la mashabiki wao lukuki uwanjani,tuwaombee yanga japo washatolewa.
Kuna timu isha pigwa 5 wala nchi haikupata aibu
 
Kwa walichowafanyiwa na mihogo fc wakiwa bongo….kwao wawalaze stand na viboko juu
 
Back
Top Bottom