Ni simba wèwe shabiki ngiriDakika 90 zitaongea. Mchezo una matokeo 3 na kila timu inahitaji ushindi. Wajitahidi tu wanaweza kushinda. Miaka ya sabini simba alipigwa 4 bila. Tukawafuta kwamba ndio mwisho wao. Walipokwenda zambia walimkung'uta mtu 5 bila watu kule zambia walitumia. Kwa nini yanga wasijaribu? Tuwaombee.
Wajaribu tuone matokeo hakuna linalo shindikana chini ya jua. Shabiki Ngiri.Ni simba wèwe shabiki ngiri
watapigwa nyingi ili wakahadithiane na kipanga
wachezaji wafupi wafupiWajaribu tuone matokeo hakuna linalo shindikana chini ya jua. Shabiki Ngiri.
Subiri sio mbali.wachezaji wafupi wafupi
wengine vibonge ndo washinde tunis
mihogo ichunguzwe
Yanga anashinda hii mechi, mm sio topolo lakin kiufundi na moraliwise yanga inawebabaKwa Ile mechi ya awali dakika za mwisho waarabu walionyesha kile watakachoenda kukifanya kule kwao..ni suala la muda tu,tunaenda kupata aibu.
Mwarabu anajua yanga watataka kupata goli la ugenini na hapo ndio watakapofungulia turbo huku wakichagizwa na vibe la mashabiki wao lukuki uwanjani,tuwaombee yanga japo washatolewa.
Sawa tumekusikia kocha wa kwa mtogole na mtabiriKwa Ile mechi ya awali dakika za mwisho waarabu walionyesha kile watakachoenda kukifanya kule kwao..ni suala la muda tu,tunaenda kupata aibu.
Mwarabu anajua yanga watataka kupata goli la ugenini na hapo ndio watakapofungulia turbo huku wakichagizwa na vibe la mashabiki wao lukuki uwanjani,tuwaombee yanga japo washatolewa.
Kuna watu walikuwa wanakalia goli tano tano kwa kila mechi mpaka wakapewa jina la Hamsa na ile hali tuliizoea, hivyo hakuna cha kuogopa.Kwa Ile mechi ya awali dakika za mwisho waarabu walionyesha kile watakachoenda kukifanya kule kwao..ni suala la muda tu,tunaenda kupata aibu.
Mwarabu anajua yanga watataka kupata goli la ugenini na hapo ndio watakapofungulia turbo huku wakichagizwa na vibe la mashabiki wao lukuki uwanjani,tuwaombee yanga japo washatolewa.
Kuna timu isha pigwa 5 wala nchi haikupata aibuKwa Ile mechi ya awali dakika za mwisho waarabu walionyesha kile watakachoenda kukifanya kule kwao..ni suala la muda tu,tunaenda kupata aibu.
Mwarabu anajua yanga watataka kupata goli la ugenini na hapo ndio watakapofungulia turbo huku wakichagizwa na vibe la mashabiki wao lukuki uwanjani,tuwaombee yanga japo washatolewa.
Baada ya dakika 90 nani kapigwa? Jamaa wamepindua meza. Tanzania oyee.Ni simba wèwe shabiki ngiri
watapigwa nyingi ili wakahadithiane na kipanga