Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Yanga jinsi walivyojipanga kutodhalilishwa ktk mechi hii,wametumia nguvu kubwa sana kuzuia kudhalilika,ila wachezaje wake lazima leo walale na viatu,manake kwasakwasa walilopigiwa si la nchi hii
 
Utaratibu uko vipi kama game ikiisha droo?

Kuna muda wa nyongeza?
 
simba hovyo,no stamina,no plan,wanalimbizwa tu.kocha wao ajitazame,ni timu ambayo haina utafiti kwenye mipango yao.
 
simba hovyo,no stamina,no plan,wanalimbizwa tu.kocha wao ajitazame,ni timu ambayo haina utafiti kwenye mipango yao.

Hao wazuri,wenye stamina nzuri na plan wanaongoza goli ngapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…