Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji87] [emoji87]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji87] [emoji87]
Tusubiri penati ila nyie mnabahati sana napenati[emoji87] [emoji87]
Yeah kwenye penalt huwa hatubahatishi naombea dk 90 ziishe tu
Sema hizi dakika zamwisho huyu kichuya simwamini kabisa.Yeah kwenye penalt huwa hatubahatishi naombea dk 90 ziishe tu
Hallelujah [emoji119]Hapana dada Mungu namkumbuka kila siku ujue ila lazima tumuombe
TuliaMasikini simba yangu [emoji134] yaan naona tunafungwa acha nijiandae kisaikolojia
Sidhani kama utakuwepoUtaratibu uko vipi kama game ikiisha droo?
Kuna muda wa nyongeza?
AmeeeenHallelujah [emoji119]
Tusubiri dakika 90
[emoji4][emoji4]Tulia
90Dak ya ngapi jamani?
MatutaUtaratibu uko vipi kama game ikiisha droo?
Kuna muda wa nyongeza?
simba hovyo,no stamina,no plan,wanalimbizwa tu.kocha wao ajitazame,ni timu ambayo haina utafiti kwenye mipango yao.