Majestic wolf
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 1,248
- 1,851
Nimewahi nafasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauendi Uwanjani?Mmhh. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ndio najiandaa hapa aisee. [emoji23] [emoji23]Hauendi Uwanjani?
Twende Taifa mamaMmhh. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ndio najiandaa hapa aisee. [emoji23] [emoji23]
Haya Kila la Kheri.Ndio najiandaa hapa aisee. [emoji23] [emoji23]
Rudi matopeni we churaLakini Mpira unadunda jamani japo nipo Simba lakini hata Yanga anaweza akapata ushindi.
Wataaalam wa Mpira nadhani mmenisoma.
Kabisa ndugu.Lakini Mpira unadunda jamani japo nipo Simba lakini hata Yanga anaweza akapata ushindi.
Wataaalam wa Mpira nadhani mmenisoma.
Tupo pamoja
Yanga hakuna walevi!Nipo nafuatllia jinsi mashabiki wanavyo kunywa vilei.. Counter ya yanga hakuna vileo sana
Mkuu,kuwa fair, tamka kuwa ni Yanga VS Simba. Kumbuka mwenyeji wa mashindano haya ni YangaKama kawaida yangu mdau wenu nitakuwa live kuwaletea masimulizi ya mechi kali kati ya mnyama Simba Sc na Yanga, uwanja wa Taifa leo katika mechi ya ngao ya hisani.
Nitawaletea masimulizi kabda na baada ya mechi.
=========