Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Ndala jiandaeni kwa historia nyingine amna namna!

young kilimanjaro
 
Nipo nafuatllia jinsi mashabiki wanavyo kunywa vilei.. Counter ya yanga hakuna vileo sana
 
Kama kawaida yangu mdau wenu nitakuwa live kuwaletea masimulizi ya mechi kali kati ya mnyama Simba Sc na Yanga, uwanja wa Taifa leo katika mechi ya ngao ya hisani.

Nitawaletea masimulizi kabda na baada ya mechi.
=========
Mkuu,kuwa fair, tamka kuwa ni Yanga VS Simba. Kumbuka mwenyeji wa mashindano haya ni Yanga
 
Back
Top Bottom