Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Penati ya tano tuliukosa technically na wao wafrah ya mwisho mwisho kabla hatujabeba ndoo, hii mbinu nzuri sana mwalimu anawajulia sana, itadumisha upinzani c uadui

et al
Eti mbinu........ kwa mbinu zipi? penati ni mchezo wa kubahatisha yeyote anaweza kushinda
 
Maneno ya wakosajiiii [emoji6][emoji6]
Sa tumekosa nini kwa mfano... Matutaa kweeeli ndo unasema wakosaji???? Naona hauko serious nikuambie mara ngapi mpira ni dakika 90????
 
Penati ya tano tuliukosa technically na wao wafrah ya mwisho mwisho kabla hatujabeba ndoo, hii mbinu nzuri sana mwalimu anawajulia sana, itadumisha upinzani c uadui

et al
Jionee AIBU kushangilia ushindi wa goli moja la penalty.

Subirini Ligi ianze, na usikimbie jukwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…