Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Sawa jaman mtuache na ushindi wetuHata tungeshinda kwa matuta tusingeshabikia... kwasbb matuta ni Bahati tu na sio magoli ya viwango (standard goals)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa jaman mtuache na ushindi wetuHata tungeshinda kwa matuta tusingeshabikia... kwasbb matuta ni Bahati tu na sio magoli ya viwango (standard goals)
Shangalia matuta hayoManeno ya wakosajiiii [emoji6][emoji6]
Sio kwenye dakika 90 lakiniNdio tumeshashinda jaman mshkaji wangu [emoji1][emoji1]
Aungurumapo simba mcheza naniiiiiiii [emoji23]Shangalia matuta hayo
Kelele zilizidi humu aisee, kumbe Hadi kwenye matutaWangetufunga Sijui tungeweka wapiii sura zetu.... Walikuwa na Kelele mnooo
hongereni mkuu kwa ushindi WA bahati,kwa timu yenu hiyo ubingwa lands muufate FIFA tena[emoji23][emoji23][emoji23].naona yanga wana jifariji.kuwa ni ushindi wa matuta MBONA HAMKUUPATA NYIE HUO USHINDI WA MATUTA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mbinu........ kwa mbinu zipi? penati ni mchezo wa kubahatisha yeyote anaweza kushindaPenati ya tano tuliukosa technically na wao wafrah ya mwisho mwisho kabla hatujabeba ndoo, hii mbinu nzuri sana mwalimu anawajulia sana, itadumisha upinzani c uadui
et al
Sa tumekosa nini kwa mfano... Matutaa kweeeli ndo unasema wakosaji???? Naona hauko serious nikuambie mara ngapi mpira ni dakika 90????Maneno ya wakosajiiii [emoji6][emoji6]
Jionee AIBU kushangilia ushindi wa goli moja la penalty.Penati ya tano tuliukosa technically na wao wafrah ya mwisho mwisho kabla hatujabeba ndoo, hii mbinu nzuri sana mwalimu anawajulia sana, itadumisha upinzani c uadui
et al
Mbona haishindi kwa Simba mechi ya nne sasa?Mashabiki wa Simba walikuwa wanamini hivyo, dakika 90 zimeisha bila bila,
Yanga timu kubwa Siku zote
Sasa mmefunga nini nyieMbona hamjatufunga sasa jaman
Mbona hamjatufunga kwenye zile dakikaMbona hamjatufunga sasa jaman
Sana muoga mie balaaa!!![emoji1] [emoji351] [emoji351] [emoji351]Mbona ulikua kimya yaan ujue muoga
Haelewi huyoo, anajua kushangilia matutaa tuuHata tungeshinda kwa matuta tusingeshabikia... kwasbb matuta ni Bahati tu na sio magoli ya viwango (standard goals)
Ushindi ushindi jaman ebu ngoja nitoke kidogo nishangilie vizuriSio kwenye dakika 90 lakini
Duuude!!!Twende Taifa mama