Halii mtu shamac tusije tukakimbiana tu apa
Ohooo... Haya na uandae machozi.
Halii mtu shamac tusije tukakimbiana tu apa
Nipo nafuatllia jinsi mashabiki wanavyo kunywa vilei.. Counter ya yanga hakuna vileo sana
Hapana aisee Mnyama yupo ndani ya damu siwezi kuhama hata uniwekee mahela hapo
Hamia kwa wajanja hutojutia, japo kwa leo.
Uzuri huu uzi upo hata baada ya mechi.
Upo hapa uwanjani mkuu..hebu ukiniona Sema tu This is Simba, nikutambueSimba nguvu moja
Sasa mkuu nitakujuaje jamaan au kila ninaemuona niseme tu This is SimbaUpo hapa uwanjani mkuu..hebu ukiniona Sema tu This is Simba, nikutambue
Nipo nafuatllia jinsi mashabiki wanavyo kunywa vilei.. Counter ya yanga hakuna vileo sana
hivyo viti lazima vikaliwe na mnyama...hah hahMungu wangu viti vya uwanja wa Taifa tenaaaaa leo.
hah hah hiyo inaitwa Nguvu moja...raha sanaSasa mkuu nitakujuaje jamaan au kila ninaemuona niseme tu This is Simba
Shunie uhame uende wapi kwanza! Unataka nini tena. Simba ndio tm inayojulika. Tz na nje ya......Hapana aisee Mnyama yupo ndani ya damu siwezi kuhama hata uniwekee mahela hapo
Sasa mkuu nitakujuaje jamaan au kila ninaemuona niseme tu This is Simba
Shunie uhame uende wapi kwanza! Unataka nini tena. Simba ndio tm inayojulika. Tz na nje ya......
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umeliona hilo mkuu huyu mtu sio mtu mzuriAnataka aanzishe thiedi humu.
"MWANA JF MREMBO shunie AGEUKA CHIZI UWANJA WA TAIFA"
Ewaaaaaaa Saidy Simba ndio tumeshafikaShunie uhame uende wapi kwanza! Unataka nini tena. Simba ndio tm inayojulika. Tz na nje ya......
Sent using Jamii Forums mobile app