Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Nipo nafuatllia jinsi mashabiki wanavyo kunywa vilei.. Counter ya yanga hakuna vileo sana

Wanywe mpaka basi ila safari hii watanunua viti mara tatu ya watakavyovunja.
 
Sawa ila usipoteze nguvu sana kwani mshindi ameshajulikana ni Simba labda tu uwe unawapa watu taarifa nyingine zisizohusiana na mshindi wa leo...
 
Ata wakati unaandika inaonesha ulikua unaota pia,na ata sisi wachangiaji pia tupo ndotoni itakua...!
 
Anataka aanzishe thiedi humu.


"MWANA JF MREMBO shunie AGEUKA CHIZI UWANJA WA TAIFA"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umeliona hilo mkuu huyu mtu sio mtu mzuri
 
Back
Top Bottom