Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba



Hahahahaha
 
JULAI 19, 1977
Simba 6-0 Yanga
WAFUNGAJI:
Abdallah Kibadeni dk. 10, 42 na 89, Jumanne Hassan 'Masimenti' dk. 60 na 73, Selemani Sanga alijifunga dk. 20.
MEI 6, 2012
Simba 5-0 Yanga SC
WAFUNGAJI:
Emmanuel Okwi (dk 2 na 62), Felix Sunzu (penalti 56), Juma Kaseja (penalti dk 67) na Patrick Mafisango (penalti dk 72)
Daah, hizi historia ni bora zingekuwa zinafutika tu
 
Lakini Mpira unadunda jamani japo nipo Simba lakini hata Yanga anaweza akapata ushindi.

Wataaalam wa Mpira nadhani mmenisoma.
Mpira ni mgumu...ila hii kama si droo bas Yanga atashinda.

Halafu ikishashinda, Simba watalialia kuonewa au watakataa matokeo.

Tunawajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…