Saidy Hamidu
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 147
- 128
Yaaaani ninavyoipenda kiukweli ctaman kuambiwa chochote wala kusikia chochote ila tuu kuibali na kuishaingilia kwa nguvu cku kama ya leo. Japo najuwa nikirudi leo sauti itakuwa imeishia uwanjani kwa raha tuu za kushangilia.Ewaaaaaaa Saidy Simba ndio tumeshafika
Sent using Jamii Forums mobile app