OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama kawaida yangu mdau wenu nitakuwa live kuwaletea masimulizi ya mechi kali kati ya mnyama Simba SC na Yanga SC, uwanja wa Taifa leo katika mechi ya ngao ya hisani.
Nitawaletea masimulizi kabda na baada ya mechi.
======
16:15; Timu zote mbili zimeshafika uwanja wa taifa na tayari wachezaji wa Simba wameingia kiwanjani kupasha misuli, mechi inatarajiwa kuanza majira ya saa 11 jioni.
16:24; Timu ya Yanga nayo imeingia kiwanjani kupasha misuli
16:28; Shadrack Nsajigwa(Kocha msaidizi Yanga); Kikosi chetu kiko vizuri na hatuna majeruhi, Yanga tutegemee ushindi.
=====
00' Mwamuzi kapuliza kipyenga kuashiria mwanzo wa mchezo, Yanga 0-0 Simba.
02' Yanga wanapata mpira wa kwanza wa adhabu ndogo kuelekea lango la Simba na kuzaa mpira wa kona.
07' [emoji469] Yanga wanapata kona ya pili, Aishi Manula anaipangua kuitoa kwenye hatari.
16' Mavugo anajaribu kupigwa kichwa baada ya kupokea krosi safi lakini mpira umepaa juu kidogo ya lango la Yanga.
31' Kadi ya kwanza ya njano inatoka kwa nahodha wa Simba, Method Mwanjale baada ya kumdondosha mchezaji wa Yanga.
40' Simba wanaendelea kulikamia lango la Yanga na Mavugo anashindwa tena kuweka mpira wavuni baaada ya kupiga kichwa bila kulenga goli.
41' [emoji469] Kichuya anapiga kona fupi na Niyonzima anapaisha juuu.
43' Simba wanapiga mpira wa adhabu kuelekea lango la Yanga, haijazaa matunda.
45+2' Mpira unaenda mapumziko huku milango ikiwa migumu kwa timu zote, Yanga 0-0 Simba.
--------
45' Mpira umerejea kutoka mapumziko na timu zinashambuliana kwa zamu.
47' Simba wanapata kona ya kwanza kwenye kipindi cha pili, baada ya gonga kadhaa, Mavugo anapiga kichwa na kutoka nje ya lango.
49' Juma Abdul wa Yanga yuko chini baada ya kuangushwa na Haruna Niyonzima, Haruna analamba kadi ya njano kwa kujibizana na mwamuzi.
53' Kamusoko anapiga shuti kali kuelekea lango la Simba na kupaa juu kidogo ya goli.
57' Emmanuel Okwi anabakia yeye na kipa wa Yanga lakini mpira unamzidi nguvu na kutolewa kwenye hatari.
72' Simba inafanya mabadiliko, Juma Luizio anaingia kuchukua nafasi ya Mavugo.
73' Rafael Daudi anatoka na nafasi yake kuchukiliwa na Juma Mahadhi kwa upande wa Yanga.
75' Okwi na Liuzio wanagonga pasi vizuri lakini beki anatibua mpango wao na kupata mpira wa kona ambao haujazaa goli.
87' Hassan Kessy anachukua nafasi ya Juma Abdul kwa upande wa Yanga
87' Kelvin Yondani analamba kadi ya njano
88' Erasto Nyoni anachukua nafasi ya Mohammed Hussein upande wa Simba
90' Haruna anajaribu kupiga shuti kali na kumbabatiza beki wa Yanga, anapata kona isiyozaa matunda.
90+2' Haruna anawapangua mabeki wa Yanga lakini shuti lake linapaa juu kidogo ya goli.
90+3' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwisho wa dakika 90, Yanga 0-0 Simba.
-----------
Mpira unaelekea kwenye matuta kuamua mshindi.
[emoji777] Aishi Manula anapangua mkwaju wa Kelvin Yondani.
[emoji460] Method Mwanjale
[emoji460] Kabamba Tshimbi
[emoji460] Emmanuel Okwi
[emoji460] Thaban Kamusoko
[emoji460] Haruna Niyonzima
[emoji460] Ibrahim Ajibu
[emoji460] Shiza Kichuya
[emoji460] Donald Ngoma
[emoji777] Mohammed Hussein
--------
[emoji777] Juma Mahadhi
[emoji460] Mohammed Ibrahim 'Mo'
Tamati imefika na timu ya Simba imefanikiwa kushinda ngao ya jamii kwa kuitungua Yanga kwa mikwaju ya matuta, Yanga 4-5 Simba.
Kikosi cha Simba Mnyaka kitakachoanza leo Vs Yanga SC
Aishi Manula, Ally Shomari, Erasto Nyoni, Salim Mbonde, Method Mwanjale, James Kotei, Shiza Kichuya, Mzamiru Yassin, Laudit Mavugo, Emmanuel Okwi na Haruna Niyonzima