Mzee wa Wima
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 537
- 296
Kama kawaida yangu mdau wenu nitakuwa live kuwaletea masimulizi ya mechi kali kati ya mnyama Simba SC na Yanga SC, uwanja wa Taifa leo katika mechi ya ngao ya hisani.
Nitawaletea masimulizi kabda na baada ya mechi.
======
16:15; Timu zote mbili zimeshafika uwanja wa taifa na tayari wachezaji wa Simba wameingia kiwanjani kupasha misuli, mechi inatarajiwa kuanza majira ya saa 11 jioni.
16:24; Timu ya Yanga nayo imeingia kiwanjani kupasha misuli
16:28; Shadrack Nsajigwa(Kocha msaidizi Yanga); Kikosi chetu kiko vizuri na hatuna majeruhi, Yanga tutegemee ushindi.
=====
00'
Kikosi cha Simba Mnyaka kitakachoanza leo Vs Yanga SC
Aishi Manula, Ally Shomari, Erasto Nyoni, Salim Mbonde, Method Mwanjale, James Kotei, Shiza Kichuya, Mzamiru Yassin, Laudit Mavugo, Emmanuel Okwi na Haruna Niyonzima
Safi Mkuu.. Simba Nguvu Moja