Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana nilikuwa mbali ujue, [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana nilikuwa mbali ujue, [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sasa wewe ucheze kwa dakika 93 huku Refa anawabeba....mnaacha kufunga na kushabikia ushindi halali badala yake unafurahia ushindi wa penalty?
Yaani Labda alimaanisha Aibu yao Yanga
Hata wa bao la mkonooo!!!Ushindi wenyewe wa penalt. ...anyway hongeren wazee wa kuuza team
MfyuuuuHakuna shida jaman ligi ndio inaanza halaf nina jezi yako ya simba nimekuandikia kabisa na jina lako
Naona dakika 90 mmeshindwa mshikaji wanguSanteeeeeeee mshkaji wangu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapana mimi ni simba damuuUmebadili gia angani best
ACHA HIVYO WEWE! HUU MCHEZO HAUTAKI HASIRA! PAMBANA NA HALI YAKO!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji351] [emoji351] [emoji351] [emoji350] babu ni simba damuuu!!!!YuleHivi jamaan ukijificha weeeh hivi tungefungwa ungekuja kweli ujue nacheka sana yaan we na babu asprin hamna tofauti
Sizitaki mbichi hizi sungura akagumia, Naona nafanya kazi bila faida kujua!!Ushindi wenyewe wa penalt. ...anyway hongeren wazee wa kuuza team
Sijui wanashangilia nini.... Anyway ujue hata ubingwa wanao wao eeehhBabu punguza fujo na ushindi wenu wa penati
Nani kasemaaa....!!!
Sa Kama ni Aibu kushinda kwa penalty Nyinyi Mbona Amjashinda Ata izo za Aibu..Sasa wewe ucheze kwa dakika 93 huku Refa anawabeba....mnaacha kufunga na kushabikia ushindi halali badala yake unafurahia ushindi wa penalty?
Sio AIBU?