Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ila mashabiki wa simba kuweni tu wapole. Msimu huu pia hamtachukua ubingwa wa Ligi kuu. Nasema hivi kwa sababu ya aina ya kikosi mlichonacho!
Kwa ufupi tu kikosi chenu siyo bora na kipana kuzidi kikosi cha Yanga. Na hapa ndipo Yanga itakapowapiga bao.
Yanga ina uwezo wa kufanya rotation kwenye kikosi chake! Ila kwa upande wenu, jambo hilo haliwezekani. Na kutokana na hilo, baadhi ya wachezaji wenu watakumbwa na fatique, na mwisho wa siku watacheza chini ya kiwango.