Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Jana usiku mechi ya Klabu bingwa ulaya PSG vs Bayern ilikuwa ya kusisimua na kuleta gumzo kwa mashabiki wa mpira duniani.
Mechi hiyo inafanana na mechi iliyochezwa 2004 kati ya Manchester United na Deportiva la Coruna kama mna mkumbuka kina Diego Tristan.
Pia Chelsea Vs Liverpool enz za Drogba na F Torres.
Pia Chelsea vs Barcelona Ronaldinho alipofunga lile goli kati ya magoli makali kwa kukata mauno.
Busu la Kenge ni Mchambuzi mahiri Jamii Forums aliyebobea kwenye michezo mbalimbali na mwenye shahada ya uzamili chuo kikuu Dar es Salaam.
adriz de mbusii