Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
Vipi kandanda linapigwa la uhakika na vijana wetu?Half Time:
TANZANIA 2: CONGO: 0
Aisee wanapiga kandanda la uhakika hata wakivaa jezi ya Brazil huwezi jua kama ni Serengeti...Vipi kandanda linapigwa la uhakika na vijana wetu?
Vipi kandanda linapigwa la uhakika na vijana wetu?
Inatakiwa watupie magoli mengi ili kwao iwe mlima mrefu kuupandaVijana wetu wako vizuri kwa kandanda ila watulie tu maana nafasi wanazipata nyingi.
Kipndi cha pili bado hakijaanza...??