Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Hawa madogo wapo vizuri sana japo mwishoni kuna uzembe wamefanya hasa beki ya kulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira umeishaje?Serengeti boys 2 Congo 0. Dakika 72 Congo wapewa penati.
Tanzania 3 Congo 2Mpira umeishaje?
Tumesogezwa kwenye mlango wa kutokea...Tanzania 3 Congo 2
napeeee amewatia nuksi na gundu madogo!Tumesogezwa kwenye mlango wa kutokea...
Mnaenda kuharibu uwanjaSafi sana, nilikuwa natamani kusikia kauli kama hii.
Twende sasa kwa wingi ili tuujaze uwanja na vijana wetu wapate hamasa ya kushinda.
And you were there!Nape anaulia wapi mambo ya mpira,aendelee kuimba pambio na akina Martha Mlata,wakati yuko Nsumba hata uwanjani alikuwa hafiki.kawaharibu watoto kisaikolojia.Madogo pesa kwa sasa siyo priority kwao,yeye ameenda na pesa zake za escrow,kawaharibu watoto,hapo nyuma hakuwa hivyo