Mechi ya Serengeti Boys vs Congo DRC kesho hakuna kiingilio..BUREEE..!

Mechi ya Serengeti Boys vs Congo DRC kesho hakuna kiingilio..BUREEE..!

Mi sio mkongo ila wana mpira flani wa kutulia na wanaplan, Serengeti boys wanapanic sijui lakini naimani wanauwezo mkubwa sana ila bado wacongo nimependa wameonesha spirit ya kufight hadi mwisho sana wananikumbusha Germany
 
Back
Top Bottom