Congo wamefunga TZ 2 Congo 1.Mkuu tujuze juu ya penati hiyo huku niliko umeme umekatika
TZ 3 Congo 1Penati wamefunga
Hii kaz sasa hao madogo wanatakiwa kupigwa nyingTanzania 3 Congo 2
3-2,watoto wanacheza jukwaa,wanakaba kama waseengematokeo tafadhari