Mechi ya Serengeti Boys vs Congo DRC kesho hakuna kiingilio..BUREEE..!

Hawa madogo wapo vizuri sana japo mwishoni kuna uzembe wamefanya hasa beki ya kulia
 
Sio haba ingawa ingekuwa 3-1ingependeza madogo watunzwe wana nafasi ya kufika mbali.
 
Safiiiii! Uzuri wa Hawa Watoto hawana sijui ugenini au nyumbani, wao huwa wanatandika Tu kote kote.
 
Nape anaulia wapi mambo ya mpira,aendelee kuimba pambio na akina Martha Mlata,wakati yuko Nsumba hata uwanjani alikuwa hafiki.kawaharibu watoto kisaikolojia.Madogo pesa kwa sasa siyo priority kwao,yeye ameenda na pesa zake za escrow,kawaharibu watoto,hapo nyuma hakuwa hivyo
 
And you were there!
Nawawaza mashujaa wasiotajwa kama kocha wa Serengeti Boys ambaye wakati tunaanza 'kuwa mislead' vijana wetu hakuwahi hata kuulizwa nini kifanyike nadhani. Tunaoendelea kuamini kuwa pesa ndio kila kitu sasa tumeona na wale wasioamini kwamba siasa katika michezo sasa tumaelewa inamaanisha nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…