Mechi ya Simba na Yanga imeahirishwa

TFF na bodi ya Ligi wote wajiuzulu. Huo uliofanyika ni upuuzi sana..

Mimi ni Simba damu, ila ubakaji uliofanyika ni ushenzi usiovumilika.
Safi sana mtani.

Bongo kujiuzuru ni kazi hadi watolewe kwa nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…