Mechi ya Simba na Yanga imeahirishwa

Mechi ya Simba na Yanga imeahirishwa

Ni very hopeless. Amezubaa na mjinga sana. CCM kuna wapumbavu sana..mama nitamdharau asipowaweka pembeni huyu mshamba na mwenzake Abbas Hassan.
Huwezi kujua chanzo Hadi kuifanya wizara kuandika barua hiyo...usihukumu tu wenzio...mpira was TZ ni politics...
 
Yanga imejali maslahi yake bila kujali maslahi ya washabiki

Watu wamesafiri kutoka mikoani, wametumia gharama, wamepoteza muda wao zaidi ya saa 12

Ila wao hayo masaa 2 wameona la maana Sana zaidi ya hisia za washabiki wao

Wao wanahisi huo msimamo wao utawasaidia Nini? wametutia simanzi kwa kweli
Naam

Nimeshangaa sana hii point watu hawajai raise
 
Mechi ya Yanga vs Azam ilibadilishwa kutoka saa 10 hadi saa 2:15 usiku na matangazo yalitolewa saa 6 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Mechi ya Yanga vs Biashara United ilisogezwa mbele kutoka saa 10 hadi saa 1 na taarifa zilizotolewa saa 8 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Katika mabadiliko hayo ya ratiba hatukuona watu wanagomea mchezo Je, ni kweli sababu za Yanga zina mashiko
[emoji57][emoji57][emoji57]
Bongo Sihami
 
Back
Top Bottom