Mechi ya Simba na Yanga imeahirishwa

Mechi ya Simba na Yanga imeahirishwa

Mechi ya Yanga vs Azam ilibadilishwa kutoka saa 10 hadi saa 2:15 usiku na matangazo yalitolewa saa 6 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Mechi ya Yanga vs Biashara United ilisogezwa mbele kutoka saa 10 hadi saa 1 na taarifa zilizotolewa saa 8 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Katika mabadiliko hayo ya ratiba hatukuona watu wanagomea mchezo Je, ni kweli sababu za Yanga zina mashiko
[emoji57][emoji57][emoji57]
Bongo Sihami
Mkuu hata siku moja kosa halihalalishi kosa kuwa sahihi.

Leo ndio ilikuwa kikomo cha huo upuuzi kuendelea katika soka la bongo.

Kufata taratibu na kanuni mlizojiwekea kunapima maadali ya ukifanyacho.
 
Mechi ya Yanga vs Azam ilibadilishwa kutoka saa 10 hadi saa 2:15 usiku na matangazo yalitolewa saa 6 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Mechi ya Yanga vs Biashara United ilisogezwa mbele kutoka saa 10 hadi saa 1 na taarifa zilizotolewa saa 8 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Katika mabadiliko hayo ya ratiba hatukuona watu wanagomea mchezo Je, ni kweli sababu za Yanga zina mashiko
[emoji57][emoji57][emoji57]
Bongo Sihami
Walikubaliana wote kwa pamoja, siyo uhuni wa leo, then saa 6 huwezi fananisha na saa 9 na mechi 11.....usidhani wanacheza cheza tu.....wachezaji inatakiwa wale chakula kabla ya mechi angalau masaa ma5 kabla ya mechi.
 
Walichotufanyia
c1094ded28934f8fa787e76a3da72b65.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ni karata nyingine kwa mama Samia..mama weka pembeni haya majinga Bashungwa na Abbas. TFF nao wajitathmini. Watu wamepoteza muda na gharama zao.

Binafsi nimeamua kujiweka pembeni na upenzi wa soka la kibongo. Mpira wetu ni wa kujitekenya na kucheka wenyewe.
Mtanyooka tuu
Unategemea kupata furaha kutoka kwa binadam mwenzako?
 
Back
Top Bottom