Mechi ya Simba na Yanga imeahirishwa

Mechi ya Simba na Yanga imeahirishwa

Mambo ya ajabu sana haya,mimi ni Simba ila Mamlaka zimechemka sana leo...serious shughuli ya pale kwa mzee Ruksa ilete taharuki hii!!?
Cuz Watanzania wengi wameboreka sana leo, Serikali inaenda kulala leo bila baraka za watu wake.
Ila kiukweli waziri wa Michezo anatakiwa ajiuzulu au Mama amundoe tu ili iwe fundisho
 
Mechi ya Yanga vs Azam ilibadilishwa kutoka saa 10 hadi saa 2:15 usiku na matangazo yalitolewa saa 6 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Mechi ya Yanga vs Biashara United ilisogezwa mbele kutoka saa 10 hadi saa 1 na taarifa zilizotolewa saa 8 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Katika mabadiliko hayo ya ratiba hatukuona watu wanagomea mchezo Je, ni kweli sababu za Yanga zina mashiko
[emoji57][emoji57][emoji57]
Bongo Sihami
Mshana kunatofsuti ya mechi na derby ...derby instension Sana inahitaji unakini mkubwa kushughulika nayo leo tff wamezingua aisee mimi na usimba wangu lakini yanga nimewaunga mkono kwenye msimamo wao
 
Ila kiukweli waziri wa Michezo anatakiwa ajiuzulu au Mama amundoe tu ili iwe fundisho
Kariakoo derby ni brand ya ligi nzima halafu mtu anaichezea hovyo hovyo namna hii.

Damage kwenye brand ni kubwa kuliko tunavyofikria.

Watu wajinga wajinga kama kina Abbas na Bashungwa hawafai kuongoza mechi
 
Simba hata kipindi cha mkataba wa azam tv Yanga walikomaa maslahi madogo simba wakaunga mkono juhudi,simba inapofika sehemu kujitoa uwa wanakua kama paka
Kuna mwaka (sikumbuki mwaka gani) Simba na Yanga walikubaliana wagomee mechi yao ya kutafuta mshindi wa tatu Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati iliyokuwa ifanyike Uwanja wa Taifa (Sasa Uwanja wa Uhuru). Simba waliwasaliti wenzao kwa kupeleka timu Uwanjani na kusababisha Yanga iadhibiwe.
 
Mechi ya Yanga vs Azam ilibadilishwa kutoka saa 10 hadi saa 2:15 usiku na matangazo yalitolewa saa 6 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Mechi ya Yanga vs Biashara United ilisogezwa mbele kutoka saa 10 hadi saa 1 na taarifa zilizotolewa saa 8 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Katika mabadiliko hayo ya ratiba hatukuona watu wanagomea mchezo Je, ni kweli sababu za Yanga zina mashiko
[emoji57][emoji57][emoji57]
Bongo Sihami
Acha uongo wew mzee hizo mechi ziliahirishwa kwa zaidi ya masaa 24.

Huu uongo ni kwa faida ya Nani?

View attachment 1778077View attachment 1778078
IMG-20210508-WA0127.jpg
 
Namheshim sana ila wanaume wanawadharau sana wanawake.Bashungwa amesababisha hasara kubwa sana na anajua mama hamfanyi kitu
Pumbavu mkubwa
Tutamlinda mama kwa nguvu zetu zoteee
Ole wa mtu amguse tutadili nae papendicular

Tutawanyoosha washenz Kama nyie
 
Yanga imejali maslahi yake bila kujali maslahi ya washabiki

Watu wamesafiri kutoka mikoani, wametumia gharama, wamepoteza muda wao zaidi ya saa 12

Ila wao hayo masaa 2 wameona la maana Sana zaidi ya hisia za washabiki wao

Wao wanahisi huo msimamo wao utawasaidia Nini? wametutia simanzi kwa kweli
Sheria na kanuni weka pembeni ushabiki.
 
Ndio kwema?

TFF nawaona wote ni vichwa vichafu boss.

Tusubiri tuone wangapi watachukuliwa hatua kwa kuleta taharuki.

Inabidi Mama Samia hapa ndio wakati wa kujifunza jinsi ya kutumbua majipu, sidhani kama Mwendazake angevumilia upuuzi kama huu uliofanyika jana, haiwezekani watu waingize hasara kubwa vile kwa kushindwa kufanya maamuzi sahihi halafu waendelee kukaa ofisini as if nothing happened? Inabidi watu wajifunze kuwajibika wanapopewa madaraka ya kuongoza
 
Back
Top Bottom