Mechi ya Simba na Yanga wanawake yajaza uwanja wa KMC siku ya jana, Je watanzania tunatafuta pesa muda gani?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,380
Reaction score
68,484
Kuna sehemu kuna kitu hakipo sawa.

Inawezekanaje siku ya kazi kama jana jumanne uwanja unajaa mashabiki eti kushuhudia derby ya kariakoo ya wanawake.

Huo ni muda wa kazi, ila Watanzania wakaamua kwenda kuujaza uwanja wa KMC. Muda huo ndio muda wa kwenda kutafuta pesa. Sisi ni nani aliyeturoga?

Wachina waendelee tu na umachinga kariakoo!!
IMG_5789.jpeg
IMG_5791.jpeg
IMG_5790.jpeg
 
Kuna sehemu kuna kitu hakipo sawa.

Inawezekanaje siku ya kazi kama jana jumanne uwanja unajaa mashabiki eti kushuhudia derby ya kariakoo ya wanawake.

Huo ni muda wa kazi, ila Watanzania wakaamua kwenda kuujaza uwanja wa KMC. Muda huo ndio muda wa kwenda kutafuta pesa. Sisi ni nani aliyeturoga?

Wachina waendelee tu na umachinga kariakoo!!View attachment 3276481View attachment 3276482View attachment 3276483
Huo uwanja wanaingia watu wangapi na Dar es Salaam kuna watu wangapi?
 
Epl mechi ikichezwa saa nane mchana kwa masaa ya huku kwetu. Kule England inakuwa saa tano kamili asubuhi but unaona watu wamejaa uwanjani.
So Shida ni zako siyo kila mtu anafanya kazi inayo mtaka mda wote kuwa ofisini
Pumbavu sana
Elevuka ewe mjinga
 
Mbona wa raia wenye gubu mnaongezeka sana aisee.

Nchi gani ambako hawaendi kuangalia burudani?

We ambae huendagi kuangalia mpira unatafuta hela una shilingi ngapi hadi sasa? Kwahiyo kwakuwa wewe huendagi kuangalia mipira unakuwa unatafuta hela unahisi umewazidi wale wote waliongia mpirani jana kwa hela?
 
Achana na maisha ya watu... Kila mmoja ana utaratibu wake wakutafuta!! Wewe unapokuwa kwenye starehe zako watu wanakuuliza kwanin haupo kazini?. Upuuzi tu
 
Kuna sehemu kuna kitu hakipo sawa.

Inawezekanaje siku ya kazi kama jana jumanne uwanja unajaa mashabiki eti kushuhudia derby ya kariakoo ya wanawake.

Huo ni muda wa kazi, ila Watanzania wakaamua kwenda kuujaza uwanja wa KMC. Muda huo ndio muda wa kwenda kutafuta pesa. Sisi ni nani aliyeturoga?

Wachina waendelee tu na umachinga kariakoo!!View attachment 3276481View attachment 3276482View attachment 3276483
Mimi ninauza vipande vibichi vya mihogo na karanga mbichi kudumisha ndoa, hivyo naangalia mechi na ninaingiza pesa.
 
Epl mechi ikichezwa saa nane mchana kwa masaa ya huku kwetu. Kule England inakuwa saa tano kamili asubuhi but unaona watu wamejaa uwanjani.
So Shida ni zako siyo kila mtu anafanya kazi inayo mtaka mda wote kuwa ofisini
Pumbavu sana
Elevuka ewe mjinga
Hapo unazungumzia weekend lakn
 
Kuna sehemu kuna kitu hakipo sawa.

Inawezekanaje siku ya kazi kama jana jumanne uwanja unajaa mashabiki eti kushuhudia derby ya kariakoo ya wanawake.

Huo ni muda wa kazi, ila Watanzania wakaamua kwenda kuujaza uwanja wa KMC. Muda huo ndio muda wa kwenda kutafuta pesa. Sisi ni nani aliyeturoga?

Wachina waendelee tu na umachinga kariakoo!!View attachment 3276481View attachment 3276482View attachment 3276483
Hivi unajua holiday ya wafanyakazi wa uingereza inapatikana siku zinazochezwa mpira!!! Kuanzia ijumaa mpaka Monday night football watu wanatoka kazini mapema sana kwenda viwanjani kuangalia timu zao

Hata hao wabongo usiwashangae hapo mdau iyo ndio holiday yao
 
Kuna sehemu kuna kitu hakipo sawa.

Inawezekanaje siku ya kazi kama jana jumanne uwanja unajaa mashabiki eti kushuhudia derby ya kariakoo ya wanawake.

Huo ni muda wa kazi, ila Watanzania wakaamua kwenda kuujaza uwanja wa KMC. Muda huo ndio muda wa kwenda kutafuta pesa. Sisi ni nani aliyeturoga?

Wachina waendelee tu na umachinga kariakoo!!View attachment 3276481View attachment 3276482View attachment 3276483
Game ya Ipswich na Newcastle inajaza uwanja England, wao hela huwa wanatafuta saa ngapi? Entertainment ni sehemu muhimu ya maisha, Acha watu waburudike.
 
Mkuu wengine wafugaji sasa kipindi hiko wako uwanjan mifugo ishawekewa chakula inajilisha
 
Kuna sehemu kuna kitu hakipo sawa.

Inawezekanaje siku ya kazi kama jana jumanne uwanja unajaa mashabiki eti kushuhudia derby ya kariakoo ya wanawake.

Huo ni muda wa kazi, ila Watanzania wakaamua kwenda kuujaza uwanja wa KMC. Muda huo ndio muda wa kwenda kutafuta pesa. Sisi ni nani aliyeturoga?

Wachina waendelee tu na umachinga kariakoo!!View attachment 3276481View attachment 3276482View attachment 3276483
We kinachokusumbua ni ushamba, unaujua ukubwa wa viwanja vya ulaya? Na una taarifa vingine kwa mechi kubwa vinajaa miezi kabla? Pambana na maisha yako hakuna unayemlisha halafu ni suala la muda huo ushamba utakuisha.
 
  • Thanks
Reactions: kax
Game ya Ipswich na Newcastle inajaza uwanja England, wao hela huwa wanatafuta saa ngapi? Entertainment ni sehemu muhimu ya maisha, Acha watu waburudike.
Old Traford kwa mechi kubwa km za Liverpool, Manchester City, Arsenal, Chelsea tiketi zinakuwa zimejaa msimu mzima kabla ya mechi. Huyo ameingia mjini juzi hana exposure
 
Back
Top Bottom