MANYANI na MAMMBWA hamtakiwi ligi kuu...hio mechi Simba haitacheza. Mmekutana na mafia kweli kweli.Nasubiri nione kama watasimamisha mikia kugoma
Hii sio AI hii...Kwisha hili lilishajulikana muda tu ๐๐
Pendekezo la Yanga ilikuwa hata kama kuna suluhu itapatikana basi mechi haiwezi kuwa tarehe 15 na mechi imeenda tarehe 25 wametepetaje?Kwa hiyo Yanga mmekaza mmetepeta sasa si ndio?
Nyie mliolegeza mmepata nini?.Kwa hiyo Yanga mmekaza mmetepeta sasa si ndio?