Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,722
- 11,336
Ni kama uchaguzi tu mechi zina maelekezoHii mechi haina tena mvuto
Ni kama uchaguzi tu mechi zina maelekezoHii mechi haina tena mvuto
Nyie jipangeni na mechi ya tarehe 25 wakati huo bodi ya ligi ikiwa ishajiuzulu atucheki na wowoteMANYANI na MAMMBWA hamtakiwi ligi kuu...hio mechi Simba haitacheza. Mmekutana na mafia kweli kweli.
Tusubiri tuone kama mikia inasimama vizuriMANYANI na MAMMBWA hamtakiwi ligi kuu...hio mechi Simba haitacheza. Mmekutana na mafia kweli kweli.
😂😂Saizi tutawaambia nyie kama mnaweza trh 25 msilete timu. Nyie si wakubwa🥱Hii mechi ya 25 June mkicheza basi aliyewaita utopolo hakukosea
Hili sina haja ya kukuambia utajisomea hapahapa wengine wakiandika utapata jibu.Yanga walisema wapi hayo maneno? Unajua maagizo ya Yanga yalikuwa nini ili mechi ichezwe?
Kwaio akina Mguto wamekuambia wanajiuzuluNyie jipangeni na mechi ya tarehe 25 wakati huo bodi ya ligi ikiwa ishajiuzulu atucheki na wowote
Tukutane tarehe 25 mkuuMmefeli pakubwa sana mnaiendesha klabu kama kijiwe cha kahawa
Wahuni hao...nashangaa tunaendekeza wahuni na maharamia ligi kuu ...yanga hawapaswi kucheza ligi kuu ya tanzania...Mmefeli pakubwa sana mnaiendesha klabu kama kijiwe cha kahawa
Tutaenda, maana kombe uwanjani hiyo,simba ashinde awe bingwa,yanga droo tu bingwaKama hii mechi kuna shabiki ataenda uwanjani
Ntamtoa maana sana
Je, bodi ya ligi imejiuzulu?Nyooo kiko wapiiiiii😂😂😂😂😂😂haya 5imba mkimbie tena
No reform no electionsMANYANI na MAMMBWA hamtakiwi ligi kuu...hio mechi Simba haitacheza. Mmekutana na mafia kweli kweli.
Pelekeni hiyo timu yenu tuone. Ile barua yenu ya jana na ya wizara leo zilikuwa hatari kwa afya.Simba naamini watapeleka timu ila mission yenu failed, jinga sana nyie