Yatatimizwa kabla ya mechi inayofata Kuna wiki nzima hapoMaagizo yenu yametimizwa?
Yatatimizwa kabla ya mechi inayofata Kuna wiki nzima hapoMaagizo yenu yametimizwa?
Wewe raisi unafanya nini kwenye nyuzi za kijinga jinga namna hii? Huku ulipaswa kuingia na ile I'd ya 2017 na sio hii ya raisi wetu kipenzi cha watanzania 🤔Scars
unaitwa huku mbona jana ulikuwa unarindima na hukuacha hata akiba ya maneno baada jana Ahmed Ali kupiga mikwara yote
Nikikuambia wewe bado mtoto unakasirika
Iwe funzo kwa bodi ya ligi na huyo kiongozi wao aliyepiga simu ambaye tunajua atakuwa yule waziri shabiki wa kolo, wanataka kuuwa ligi kisa mapenzi ya timu yao ,wanapokuwa viongozi waweke unazi pembeni wafanye kazi waliyotumwa na raisi, ni aibu kwa ratiba za ligi hadi raisi aingilieDabi ya Kariakoo ya June 15 imesogezwa mbele Kwa mara nyingine tena
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Juni 15, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni.
Mchezo huo sasa utafanyika Juni 25, 2025 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00 jioni.
Bodi inazitakia maandalizi mema klabu za Yanga na Simba kuelekea mchezo huo.
View attachment 3367072
🥱🥱 Rais mama yenu ameamua kuwaokoa Tff vinginevyo wangeita maji mma!!.Maagizo yenu yametimizwa?
Waanze na kesho wapeleke timu ikafanye mazoezi halafu Jpili tuwaone uwanjaniView attachment 3367085
😂😂😂😂 Mnaleta matamko ya kitoto mbele ya wakubwa. Mtakuja kubakwa. Watajiuzulu. Takwa moja limefanikiwa mechi kupangiwa trh nyingine. Kma mnayo nguvu ngomeni na nyie.
Kama nikusubiri matokeo yatakuja yale yale viongozi wa bodi kutafutiwa sababu wajiuzulu kwa ridhaa zao bila kulazimishwa. Na kwakuwa serikali imeingilia hilo ni jambo la kawaida kabisa kutokea.Mkuu, bado hatujajua wamekubaliana nini huko, ni vema kusubiri matokeo.
Yanga lazima mtacheza kumaniner
Nadhani lazima watakua wameweka sawa hayo mambo hasa kuhusu malipo yao, na kwa maoni yangu mimi, wale viongozi hata kama hawataondolewa basi watakua wamejifunza kitu kupitia moto walipata safari hii.Hivi bodi na viongozi wa TFF wamejiuzulu au yanga wamelipwa pesa zao.
Hizi zote ni mchezo wa kufifisha no reform no electionI
Walioonwa wajinga na wizara kwa madharau ikawapa na kibari cha kufanya mazoezi😂😂😂😂🙌Waanze na kesho wapeleke timu ikafanye mazoezi halafu Jpili tuwaone uwanjani
Hajaokoa chochote bali anajaribu kuingilia masuala ambayo hayamuhusu kama serikali.🥱🥱 Rais mama yenu ameamua kuwaokoa Tff vinginevyo wangeita maji mma!!.
haikutakiwa kuwa hivi, na hii inaonesha Shirikisho limeshindwa kutimiza wajibu wake,Kama nikusubiri matokeo yatakuja yale yale viongozi wa bodi kutafutiwa sababu wajiuzulu kwa ridhaa zao bila kulazimishwa. Na kwakuwa serikali imeingilia hilo ni jambo la kawaida kabisa kutokea.
Najiuliza je, wakifanya hivyo na FIFA wakaja kugundua hayo nini kitafuata?
Kuna mashabiki na viongozi wajinga kama wa umbumbuni? Watu wazima mnakaa ukumbuni mnaletewa manzoki mnapiga makofi,,mnaambiwa kateni tiketi mechi inachezwa kwa mkapa na nyie mnaliunga tu kama mmekatika vichwa kisha mnaibiwa mchana peupe,,Sasa nyie akili zimo kweli?Yanga imebarikiwa kuwa na viongozi na mashabiki wajinga sana
Kuna watu hawatabaki salama. TusubiriNadhani lazima watakua wameweka sawa hayo mambo hasa kuhusu malipo yao, na kwa maoni yangu mimi, wale viongozi hata kama hawataondolewa basi watakua wamejifunza kitu kupitia moto walipata safari hii.
Kaingia kutuliza gasia tu, maana Tff walishafeli njia pekee ya kuokoa mpira uchezwe ilikuwa hii!.Hajaokoa chochote bali anajaribu kuingilia masuala ambayo hayamuhusu kama serikali.
TFF walishindwa tangu tarehe 7. Jana na leo imeonyesha udhaifu waohaikutakiwa kuwa hivi, na hii inaonesha Shirikisho limeshindwa kutimiza wajibu wake,
Point za mezani hazipo Tena ndugu,,kuhusu kujiuzulu kwa viongozi wa bodi ambalo ndio lilikuwa sharti la yanga subilia kuanzia wiki ijayo utapata majibu ya swali lakoShida si mchezo kusogezwa mbele. Yanga walikuwa wanataka bodi ya ligi ijiuzulu lakini inavyoonekana wametepeta na wala malalamiko yao yametupiliwa mbali.
Ameenda mmiliki wa 🐸🐸 mwenyewe, hersi kachochora.
Hili suala lazima litamchomoa tu karia kwenye uchaguzi wa AugustIwe funzo kwa bodi ya ligi na huyo kiongozi wao aliyepiga simu ambaye tunajua atakuwa yule waziri shabiki wa kolo, wanataka kuuwa ligi kisa mapenzi ya timu yao ,wanapokuwa viongozi waweke unazi pembeni wafanye kazi waliyotumwa na raisi, ni aibu kwa ratiba za ligi hadi raisi aingilie
Karia kazi imemshinda atoke tu