IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,878
- 7,526
Simba na Yanga ni matakataka yanatumiwa kupumbaza watanzania wasidai tume huru na katiba mpya
Hizi timu ni machawa ya ccm ndio maana niliacha kufuatilia mamipira ya bongo
Kwa staili hii ya kuruhusu wana siasa kuwatumia
Kucheza kombe la dunia mtaendelea kuota
Hizi timu ni machawa ya ccm ndio maana niliacha kufuatilia mamipira ya bongo
Kwa staili hii ya kuruhusu wana siasa kuwatumia
Kucheza kombe la dunia mtaendelea kuota