Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,045
- 12,545
Ukichunguza kwa makini unakuja kugundua hizi timu za SIMBASC na YangaSC zinatumika kisiasa kuhamisha mijadala muhimu ya kitaifa. Kama sasa watu wiki nzima watakuwa wapo kubishania nani mshindi na mshindwa, huku mambo ya bajeti iliyopita jana ikipotezwa.Spinning code hii ili tusijadili ishu ya deni kuongezeka kwa spidi bila maelekezo.